Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester City dakika ya 35 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Preston North End jana usiku Uwanja wa Deepdale kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Raheem Sterling dakika ya 19 na Ryan Ledson aliyejifunga dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Minnesota visits Seattle, seeks 25th victory this season
-
Minnesota Lynx (24-5, 16-2 Western Conference) at Seattle Storm (16-13, 9-7
Western Conference)
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment