Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili dakika za saba na 86 katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Grimsby Town kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Ross Barkley dakika ya nne, Pedro kwa penalti dakika ya 43, Kurt Zouma dakika ya 56, Reece James dakika ya 82 na Callum Hudson-Odoi dakika ya 89 wakati la Grimsby Town limefungwa na Matt Green dakika ya 19 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joel Embiid miffed by FT disparity in 76ers' Game 3 loss to Knicks: 'I
guess it's good when New York wins'
-
The Knicks attempted 32 free throws on Friday night, twice as many as the
Sixers.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment