Muargentina Angel Di Maria (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Paris Saint-Germain mabao mawili dakika za 14 na 33 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Madrid jana kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Bao lingine la PSG lilifungwa na Thomas Meunier dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joel Embiid miffed by FT disparity in 76ers' Game 3 loss to Knicks: 'I
guess it's good when New York wins'
-
The Knicks attempted 32 free throws on Friday night, twice as many as the
Sixers.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment