Karim Benzema amefunga mabao mawili dakika za 25 na 31 katika ushindi wa 3-2 wa Real Madrid dhidi ya Levante leo Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Bao lingine la Real limefungwa na Casemiro dakika ya 40 na ya Levante yamefungwa na Borja Mayoral dakika ya 49 na Melero dakika ya 75 Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Where to watch Dallas Wings vs. Indiana Fever: Live stream, start time, TV
channel for Saturday, May 9
-
Caitlin Clark and the Fever open the season against the Wings.
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment