Vinicius Junior akibubujikwa machozi kwa furaha baada ya kuifungia bao la kwanza Real Madrid dakika ya 36, hilo bao la kwanza kwa ujumla katika timu hiyo tangu Februari katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Osasuna usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Bao la pili la Real Madrid lilifungwa na Rodrygo Goes dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Minnesota visits Seattle, seeks 25th victory this season
-
Minnesota Lynx (24-5, 16-2 Western Conference) at Seattle Storm (16-13, 9-7
Western Conference)
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment