TAIFA STARS WAKIJIFUA BOKO KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA SUDAN JUMAPILI DAR KUFUZU CHAN
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kushoto) akigombea mpira na beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' kwenye mazoezi ya timu ya taifa, Taifa Stars leo Uwanja wa Boko Veterani.
Makipa Juma Kasema wa KMC (kushoto) na Metacha Mnata wa Yanga (kulia) wakijiandaa na mchezo dhidi ya Sudan utakaofanyika Jumapili mjini Dar es Salaam wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN) mwakani nchini Cameroon
Wachezaji wa Simba, kiungo Hassan Dilunga (mbele) na beki Haruna Shamte wakigombea mpira
Mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda akimiliki mpira mbele ya mwenzake
Wachezaji wa Simba SC, kiungo Jonas Mkude (kushoto) na beki Erasto Nyoni (kulia)
0 comments:
Post a Comment