Wachezaji wa Manchester United wakipongezana baada ya ushindi wa penalti 5-3 kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya Rochdale kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Manchester United ilitangulia kwa bao la Mason Greenwood dakika ya 68, kabla ya Luke Matheson kuisawazishia Rochdale dakika ya 76. Waliofunga penalti na Man United ni Juan Mata, Andreas Pereira, Fred, Greenwood na Daniel James wakati za Rochdale zilifungwa na Calvin Andrew, Aaron Morley na Aaron Wilbraham huku Jimmy Keohane pekee akikosa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment