Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya Abbas akimlamba chenga mchezaji wa Triangle United jioni ya leo Uwanja wa Barbourfields mjini Bulawayo, Zimbabwe katika mchezo wa marudiano Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika. Triangle United imeshinda 1-0 na kusonga mbele kwa ushindi wa 2-0 baada ya kushinda 1-0 pia ugenini wiki mbili zilizopita mjini Dar es Salaam
Minnesota visits Seattle, seeks 25th victory this season
-
Minnesota Lynx (24-5, 16-2 Western Conference) at Seattle Storm (16-13, 9-7
Western Conference)
8 minutes ago
0 comments:
Post a Comment