KAMUSOKO ALIKUWA NA FAMILIA YAKE JANA YANGA IKIUA 5-0
Kiungo Mzimbabwe wa Yanga, Thabani Kamusoko (kulia) akiwa na mkewe (kushoto) na mwanawe jana Uwanja wa Uhuru timu yake ikicheza na Mbeya City FC na kuibuka na ushindi wa 5-0
Thabani Kamusoko anakosekana kwenye kikosi cha Yanga kwa sasa kwa sababu ni majeruhi
0 comments:
Post a Comment