Ivan Rakitic akinyoosha mkono juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 26 akimalizia kazi nzuri ya Sergi Roberto ikiilaza Real Madrid 1-0 Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid katika mchezo La Liga. Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 26, ikiendelea kuongoza La Liga kwa pointi tano zaidi ya Atletico Madrid wanaofuatia nafasi ya pili ingawa wana mechi moja, wakati Real Madrid wanabaki nafasi ya tatu kwa pointi zao 48 za mechi 26 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kieran Foran's final footy game - as NRL legend prepares for his next
challenge as an assistant coach with the Manly Sea Eagles
-
Kieran Foran will sign off with one of rugby league's most deserved
farewells on Sunday night - and 15 hours later begin life as an NRL
assistant coach wit...
46 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment