Nyota wa Manchester City, Gabriel Jesus akishangilia na wachezaji wenzake, Riyad Mahrez na Phil Foden baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za 51 na 59 ikiwalaza Everton 2-1 katka mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao pekee la Everton limefungwa na Richarlison dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wrexham will not make 'too many changes' in January
-
Phil Parkinson says he does not expect Wrexham to make too many changes to
their squad in the January transfer window.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment