Roberto Firmino akimpongeza Sadio Mane baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 64 kufuatia Mohamed Salah kufunga la kwanza dakika ya nne katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sheffield United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield, hivyo kuendelea kuongoza ligi hiyo kwa pointi 13 zaidi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Newcastle in advanced talks with Villa for Ramsey
-
Newcastle are in advanced negotiations with Aston Villa over a move for
midfielder Jacob Ramsey.
45 minutes ago
0 comments:
Post a Comment