Mshambuliaji Anthony Martial akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 88 ikiwalaza LASK ya Austria 2-1 katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. LASK walitangulia kwa bao la Philipp Wiesinger dakika ya 55 kabla ya Jesse Lingard kuisawazishia Man United dakika mbili baadaye na sasa kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer kinatinga Robo fainali ya Europa League kwa ushindi wa jumla wa 7-1 baada ya kushinda 5-0 kwenye mchezo wa kwanza ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Fired college football coach's daughter forced to delete 'tone deaf' video
amid firing: 'Not crying over millionaires'
-
The daughter of a former posted a 'tone deaf' video to social media after
his firing - and the backlash she received led her to delete the clip
altogether.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment