Kipa wa Manchester United, David de Gea akiruka bila mafanikio kujaribu kuokoa mchomo wa Luuk de Jong ulioipatia bao la ushindi Sevilla dakika ya 78 katika mchezo wa Nusu Fainali ya UEFA Europa League usiku wa Jumapili Uwanja wa RheinEnergie Jijini Cologne, Ujerumani. Man United walitangulia kwa bao la penalti la Bruno Fernandes dakika ya tisa kabla ya Suso kuisawazishia Sevilla dakika ya 26 na sasa itakutana na mshindi kati ya Inter Milan na Shakhtar Donetsk zinazomenyana kesho katika Fainali Agosti 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jones leads much-changed Ireland against Canada
-
Ireland have made 10 changes for Saturday's final World Cup warm-up match
with Canada in Belfast.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment