• HABARI MPYA

    Friday, May 30, 2025
     NI AZAM FC MABINGWA WA LIGI YA VIJANA U20

    NI AZAM FC MABINGWA WA LIGI YA VIJANA U20

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Fountain Gat...
    Thursday, May 29, 2025
    CHELSEA WATWAA UEFA CONFERENCE LEAGUE, WALITOKA NYUMA NA KUICHAPA REAL BETIS 4-1

    CHELSEA WATWAA UEFA CONFERENCE LEAGUE, WALITOKA NYUMA NA KUICHAPA REAL BETIS 4-1

    TIMU ya Chelsea FC ya England jana imefanikiwa kutwaa taji la UEFA Conference League baada ya kutoka nyuma 1-0 na kushinda 4-1 dhidi ya Real...
    Wednesday, May 28, 2025
     SIMBA SC YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 1-0 NA KUKAA ‘ANGA’ ZA UBINGWA LIGI KUU

    SIMBA SC YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 1-0 NA KUKAA ‘ANGA’ ZA UBINGWA LIGI KUU

    WENYEJI, Simba SC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo U...
    AZAM FC NA FOUNTAIN GATE ZAINGIA FAINALI LIGI YA VIJANA U20

    AZAM FC NA FOUNTAIN GATE ZAINGIA FAINALI LIGI YA VIJANA U20

    TIMU za Azam FC na Fountain Gate zitakutana katika Fainali ya Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 kesho kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja w...
    Sunday, May 25, 2025
    SIMBA SC YAAMBULIA SARE 1-1 ZANZIBAR, RSB BERKANE WAONDOKA NA KOMBE

    SIMBA SC YAAMBULIA SARE 1-1 ZANZIBAR, RSB BERKANE WAONDOKA NA KOMBE

    NDOTO za Simba SC kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika hazikutimia leo baada ya kutoa sare ya kufungana bao 1-1 na Renaissance Sportive de Berk...
    Saturday, May 24, 2025
    MAMELODI SUNDOWNS YALAZIMISHWA SARE NA PYRAMIDS FC, 1-1 PRETORIA

    MAMELODI SUNDOWNS YALAZIMISHWA SARE NA PYRAMIDS FC, 1-1 PRETORIA

    WENYEJI, Mamelodi Sundowns wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Pyramids FC ya Misri katika mchezo wa kwanza wa Fainali ya Ligi ya Ma...
    Friday, May 23, 2025
     KOMBE JIPYA LA LIGI YA MABINGWA AFRIKA NI HILI HAPA

    KOMBE JIPYA LA LIGI YA MABINGWA AFRIKA NI HILI HAPA

    SHIRIKISHO la Soka la Afrika (CAF) kwa kushirikiana na wadhamini wake wakuu, TotalEnergies jana lilizindua Kombe jipya la Ligi ya Mabingwa y...
     SIMBA SC WAZURU KABURI LA HAYATI RAIS MWINYI, WATOA MISAADA KWA YATIMA ZANZIBAR

    SIMBA SC WAZURU KABURI LA HAYATI RAIS MWINYI, WATOA MISAADA KWA YATIMA ZANZIBAR

    UONGOZI wa Simba SC leo umezuru katika kaburi la Hayati Ali Hassan Mwinyi, Rais wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Jamhuri ya Mu...
    Thursday, May 22, 2025
    RAIS DK MWINYI AWALIPIA SIMBA GHARAMA ZA UWANJA WA AMAAN

    RAIS DK MWINYI AWALIPIA SIMBA GHARAMA ZA UWANJA WA AMAAN

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi ametoa gharama zote za Uwanja wa New Amaan Complex, Dar...
    TOTTENHAM MABINGWA UEFA EUROPA LEAGUE

    TOTTENHAM MABINGWA UEFA EUROPA LEAGUE

    TIMU ya Tottenham Hotspur imemaliza ukame wa mataji wa miaka 17 kwa kutwaa Kombe la UEFA Europa League baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya ...
    Wednesday, May 21, 2025
    JKT QUEENS WATWAA UBINGWA WA LIGI YA WANAWAKE TZ BARA

    JKT QUEENS WATWAA UBINGWA WA LIGI YA WANAWAKE TZ BARA

    TIMU ya JKT Queens imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Gets Program jana...
    PSG NA REAL MADRID ZAGONGA SOKONI KUSAKA SAINI YA BEKI WA LIVERPOOL

    PSG NA REAL MADRID ZAGONGA SOKONI KUSAKA SAINI YA BEKI WA LIVERPOOL

    KLABU za PSG na Real Madrid zinapigana vikumbo kuwania saini ya beki wa kati wa Liverpool, Mfaransa Ibrahima Konaté mwenye asili ya Mali. Pa...
    AISHI MANULA ASAFIRI NA SIMBA SC ZANZIBAR MECHI NA BERKANE

    AISHI MANULA ASAFIRI NA SIMBA SC ZANZIBAR MECHI NA BERKANE

    KIPA Aishi Salum Manula amesafiri na kikosi cha Simba kwenda Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa marudiano wa Fainali ya...
    Tuesday, May 20, 2025
    BINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KUPEWA 'MWALI' MPYA KABISA

    BINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KUPEWA 'MWALI' MPYA KABISA

    BINGWA wa Kombe la Shirikisho Afrika mwaka huu atapewa Kombe jipya kama ilivyo katika Ligi ya Mabingwa Afrika, ambayo yatazinduliwa Alhamisi...
    Monday, May 19, 2025
    SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

    SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

    KLABU ya Simba SC imeafiki kucheza mechi ya marudiano ya Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RSB Berkane ya Morocco Uwanja wa New...
    KYLLIAN MBAPPE NDIYE MFALME MPYA WA MABAO HISPANIA

    KYLLIAN MBAPPE NDIYE MFALME MPYA WA MABAO HISPANIA

    MSHAMBULIAJI Mfaransa, Kylian Mbappé Lottin jana alifunga bao lake la 29 katika msimu wa La Liga , Real Madrid ikiibuka na ushindi wa 2-0 dh...
    PEDRO AIPOKONYA TONGE MDOMONI INTER MILAN, 2-2 NA LAZIO

    PEDRO AIPOKONYA TONGE MDOMONI INTER MILAN, 2-2 NA LAZIO

    MSHAMBULIAJI mkongwe wa Kispaniola, Pedro Eliezer Rodríguez (37)Ledesma jana aliipokonya tonge mdomoni Inter Milan akiifungia Lazio bao la k...
    Sunday, May 18, 2025
    YANGA SC YATINGA FAINALI KOMBE LA CRDB

    YANGA SC YATINGA FAINALI KOMBE LA CRDB

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya C...
    SIMBA SC YALALA 2-0 KWA RSB BERKANE MOROCCO

    SIMBA SC YALALA 2-0 KWA RSB BERKANE MOROCCO

    WENYEJI, RSB Berkane wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika u...
    Saturday, May 17, 2025
    CRYSTAL PALACE WAICHAPA MAN CITY 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA FA

    CRYSTAL PALACE WAICHAPA MAN CITY 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA FA

    TIMU ya Crystal Palace imefanikiwa kutwaa Kombe la FA England baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Manchester City leo katika mchezo wa Fai...
    Friday, May 16, 2025
    GWIJI WA CAMEROON EMMANUEL KUNDE AFARIKI DUNIA

    GWIJI WA CAMEROON EMMANUEL KUNDE AFARIKI DUNIA

    BEKI wa zamani wa Kimataifa wa Cameroon, Emmanuel Jérôme Kundé amefariki dunia leo nchini kwao akiwa na Umri wa miaka 68 — Rais wa Shirikish...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top