Jorginho akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Chelsea dakika ya 31 ikiilaza 2-1 Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Craven Cottage. Chelsea ambayo jana ilitangulia kwa bao la Gonzalo HiguaÃn dakika ya 20 kabla ya Calum Chambers kuisawazishia Fulham dakika ya 27, kwa ushindi huo inafikisha pointi 56 baada ya kucheza mechi 28, ikiendelea kushika nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jamie Carragher gives his verdict on Ibrahima Konate's contract saga as
Liverpool legend offers defender advice on maintaining good form
-
Konate's deal is up at the end of the season and there are no public signs
of renewal talks progressing after they opened last November, with Real
Madrid e...
31 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment