Nahodha wa Argentina, Lionel Messi akisikitika baada ya mkwaju wake wa penalti kuokolewa na kipa, Hannes Halldorsson dakika ya 64 kufuatia Hordur Magnusson kuchezewa faulo na Maximiliano Meza wa Iceland katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia Uwanja wa Spartak Arena mjini Moscow, Urusi. Argentina ilitangulia kwa bao la Sergio Aguero dakika ya 19, kabla ya Alfred Finnbogason kuisawazishia Iceland dakika ya 23 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'No quick fix' as Martin faces familiar Rangers problems
-
What are the problems facing head coach Russell Martin as Rangers fail to
win their first two league games of a season for the first time since 1989?
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment