Beki Gerard Pique akimfarji kiungo Mholanzi Frenkie de Jong baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 75 katika mchezo wa La Liga jana Barcelona ikilazimshwa sare ya 2-2 na wenyeji, Espanyol Uwanja wa RCDE. Mabao ya Espanyol yalifungwa na David Lopez dakika ya 23 na Wu Lei dakika ya 88, wakati ya Barcelona yalifungwa na Luis Suarez dakika ya 50 na Arturo Vidal dakika ya 59 na kwa sare hiyo, Barca inarejea kileleni La Liga kwa wastani wa mabao baada ya kufungana tena kwa pointi na Real Madrid, 40 kila timu kufuatia kucheza mechi 19 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arsenal XI vs West Ham: Predicted lineup, confirmed team news, injury
latest for Premier League
-
Gunners face their trickiest test of their final three games
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment