RASMI LUIS JOSE MIQUISSONE NI MCHEZAJI MPYA WA SIMBA SC BAADA YA KUTAMBULISHWA LEO DAR
Kocha Mbelgiji wa Simba SC, Sven Vandenbroeck akimkabidhi jezi kiungo wa kimataifa wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone baada ya kukamilisha uhamisho wake kujiunga na klabu hiyo akitokea Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ambayo msimu huu ilimpeleka kwa mkopo UD Songo ya kwao
0 comments:
Post a Comment