Robert Lewandowski (kulia) akifurahia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 37 na 85 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Wolfsburg kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Mabao mengine yamefungwa na Serge Gnabry dakika ya 34, James RodrÃguez dakika ya 52, Thomas Müller dakika ya 76 na Joshua Kimmich dakika ya 82 na kwa ushindi huo, Bayern Munich inafikisha pointi 57 baada ya kuheza mechi 25 na kupanda kileleni mwa Bundesliga sasa ikiizidi kwa weastani wa mabao tu Borussia Dortmund inayofuatia nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Enugu to immortalise football legend Christian Chukwu
-
….Retires iconic jersey number 5 .Plans welfare for 109 ex-Rangers players
.As he is buried today From Geoffrey Anyanwu, Enugu Governor Peter Mbah of
Enu...
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment