Mshambuliaji Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 51 kwa penalti na 59 akimalizia pasi ya Toni Kroos katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Real Valladolid katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Manispaa wa Jose Zorrilla mjini Valladolid. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Raphael Varane dakika ya 34 na Luka Modric dakika ya 85, wakati la Real Valladolid lilifungwa na Anuar Tuhami dakika ya 29. Kwa ushindi huo, Real Madrid inafikisha pointi 51 baada ya kucheza mechi 27, ingawa inabaki nafasi ya tatu sasa ikizidiwa pointi tano na Atlético Madrid wanaoshika nafasi ya pili nyuma ya Barcelona wanaoongoza kwa pointi zao 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants ace Logan Webb goes on 15-day IL with right knee bursitis, ending
consecutive start streak
-
Webb has made 156 consecutive starts for the Giants, dating back to 2021.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment