Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 42 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Port Vale kwenye mchezo wa Raund ya Tatu Kombe la FA England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Oleksandr Zinchenko dakika ya 20, Taylor Harwood-Bellis dakika ya 58 na Phil Foden dakika ya 76, wakati bao pekee la Port Vale limefungwa na Tom Pope dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CJ Allen explains why No. 53 was the perfect fit with Colts
-
CJ Allen did not expect to wear No. 53 when he arrived at rookie minicamp
with the Indianapolis Colts, but the number quickly began to feel
meaningful for ...
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment