Mchezaji wa Morocco, Amine Harit (kulia) akimtoka Omid Ebrahimi wa Iran wakati wa mechi ya Kundi B Kombe la Dunia leo Uwanja wa St Petersburg nchini Urusi leo. Iran imeshinda 1-0 bao la kujifunga na Aziz Bouhaddouz dakika ya 90 na ushei katika harakati za kuokoa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Steve Kerr makes decision on Golden State Warriors future after three weeks
of contact talks
-
The two parties had been deep in talks over what the future holds after the
Warriors finished 10th in the Western Conference in 2026.
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment