Kipa wa zamani wa Manchester United, Peter Schmeichel (mwenye kofia na miwani) akifuatia mchezo wa Kundi A wa timu za taifa za vijana chini ya umri wa miaka 21 za England na Qatar katika michuano ya Toulon jana. England ilishinda 4-0, mabao ya Alhama Wende, Ronaldo Vieira, Tammy Abraham na Adam Armstrong PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Saturday, June 02, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment