Refa Mswisi, Fedayi San akimuonyesha kadi nyekundu Cenk Tosun wa Uturuki dakika ya 60 baada ya kwenda kujibizana na mashabiki aliodai walikuwa wanamtukana baba yake na mjomba wake wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana dhidi ya Tunisia uliomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Geneve, Carouge. Mabao ya Uturuki yalifungwa na Tosun kwa penalti dakika ya 54 na Caglar Soyuncu dakika ya 90, wakati ya Tunisia yalifungwa na Anice Badri dakika ya 56 na Ferjani Sassi dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
UFC 328 results: King Green hands Jeremy Stephens record-setting loss
-
Thanks to King Green, no other fighter has lost more fights under the UFC
banner than Jeremy Stephens.
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment