Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao la nne dakika ya 82 akimalizia pasi ya Romelu Lukaku katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Scotland kwenye mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Hampden Park mjini Glasgow. Mabao mengine ya Ubelgiji yalifungwa na Lukaku dakika ya tisa, Thomas Vermaelen dakika ya 24, wote wakimalizia pasi za De Bruyne na Toby Alderweireld dakika 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The Sweet Saga of Ganong: Unwrapping New Brunswick’s chocolate legacy
-
When suppliers had difficulty keeping the shelves stocked, the Ganongs
decided to make their own—a sweet decision
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment