Marcel Halstenberg akipongezwa na Toni Kroos baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza dakika ya 48 kabla ya Serge Gnabry kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Ireland ya Kaskazini kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Windsor Park mjini Belfast PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arsenal XI vs West Ham: Predicted lineup, confirmed team news, injury
latest for Premier League
-
Gunners face their trickiest test of their final three games
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment